Mkuu wa Wilaya Kiteto aongoza tuzo za "CBE FINEST AWARD" zilizo andaliwa na CBESO-Dodoma
CBE DODOMA CAMPUS CBE DODOMA CAMPUS
262 subscribers
160 views
3

 Published On Premiered Jan 23, 2024

Siku ya jumamosi tarehe 20/01/2024, serikali ya wanafunzi CBESO- DODOMA waliandaa tuzo za "CBE FINEST AWARDS" kwaajili ya wanafunzi na watumishi ambao wamefanya mambo mbali mbali katika shughuli zao. Utoaji wa tuzo hizo uliongozwa na mgeni Rasmi Mhe. Remidus Mwema ambaye ni mkuu wa wilaya ya Kiteto akiongozana na mwenyeji wake Dr. Kembo Bwana ambaye ni Mkurugenzi wa CBE Kampasi ya Dodoma na Meneja ARC.

Tembelea mitandao ya kijamii kuona matukio mbalimbali
You tube Chanel
@cbedodocampus
Instagram
@cbe.dodoma
Website
dodoma.cbe.ac.tz

show more

Share/Embed