HISTORIA MIAKA 40 YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA KAMPASI YA DODOMA
CBE DODOMA CAMPUS CBE DODOMA CAMPUS
262 subscribers
307 views
9

 Published On Aug 6, 2024

Karibu utazame documentary ya miaka 40 ya Chuo Cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dodoma ambapo ndani ya Documentary hii tumefanya mahojiano na watu mbalimbali kama waziri wa ulinzi na JKT, mwenyekiti wa bodi , Mkuu wa Chuo , wakurugenzi wa kampasi ambao wamewahi kuongoza kampasi ya Dodoma, watu mbalimbali waliowahi kusoma CBE Dodoma pamoja na viongozi menejimenti ya CBE kampasi ya Dodoma

show more

Share/Embed