Xouh - Dua yangu (Official lyrics)
Xouh Xouh
19.6K subscribers
42,685 views
0

 Published On Apr 6, 2024

Official music Audio for "Dua Yangu" by Xouh.

Follow Xouh

Instagram: https://www.instagram.com/xouh__?igsh...
TikTok: https://www.tiktok.com/@xouh__?lang=en
X/twitter: https://x.com/xouh__?s=21
Facebook: https://www.facebook.com/profile.php?...

Listen to Xouh

Audiomack: https://audiomack.com/xouh
YouTube:    • Xouh - Dua yangu (Official lyrics)  
BoomPlay: https://www.boomplay.com/albums/77628...
Spotify: https://open.spotify.com/artist/5zxTs...
Apple Music:   / xouh  

Xouh - Dua yangu lyrics

Eh Mungu hali yangu si unaiyona
Ni yule mimi tena
nimekuja kwako kukuomba baba
Ya uchungu nayopitia unayaona
Si unasema nikisema
mambo yangu kwako nitapata neema
Maana leo kama jana jana kama leo
Kila siku mi nalala kesho
Hata jana nimelala leo

Eeh mungu basi kama nina dhambi sana
angalia familia yangu
Mwangalie mama angu
Mwangalie na baba yangu
Mungu wangu pia nakuomba sana
bariki niwapendao
Bariki masela Kitaani
Bariki washkaji zangu
Nakuomba sana

Hii ni dua yangu ya leo
Hii ni dua yangu ya leo
Hii ni dua yangu ya leo
Hii ni dua yangu ya leo

Bado sijajipata
Eh Mungu baba fungua miamala
Bando linakata
Muone mtoto wa mama samia ana njaa
Pesa ndo inafanya watu wengi washinde
Njaa
Njaa ndo inafanya wengine waibe
Najua nazingua sometimes
Ubinadam najisahau (Huu)
Unisamehe

Eeh mungu basi kama nina dhambi sana angalia familia yangu
Mwangalie mama angu
Mwangalie na baba yangu
Mungu wangu pia nakuomba sana bariki niwapendao
Bariki masela

Hii ni dua yangu ya leo
Hii ni dua yangu ya leo
Hii ni dua yangu ya leo
Hii ni dua yangu ya leo

#xouh #Duayangu

show more

Share/Embed