Xouh - Mganga (Official Music Audio )
Xouh Xouh
19.7K subscribers
35,891 views
0

 Published On Apr 6, 2024

Official music Audio for "Mganga" by Xouh.

Follow Xouh

Instagram: https://www.instagram.com/xouh__?igsh...
TikTok: https://www.tiktok.com/@xouh__?lang=en
X/twitter: https://x.com/xouh__?s=21
Facebook: https://www.facebook.com/profile.php?...

Listen to Xouh

Audiomack: https://audiomack.com/xouh
YouTube:    • Xouh - Mganga (Official Music Audio )  
BoomPlay: https://www.boomplay.com/albums/77628...
Spotify: https://open.spotify.com/artist/5zxTs...
Apple Music:   / xouh  

Xouh - Mganga lyrics

Mganga namuona ex wangu ana furaha
Yaani hii kitu sijapenda
Faa masiala nini nataka apitie magumu
Alofanya tuachane bado ana bang nae
Hii pia sijapenda
Naomba mahusiano yao wasijue yanahusiana na nini
Kama kafara hebu toa miguu yake afe vibaya
Yaani mbwa yule achokwe aachwe vibaya

Siwezi kukubali niteseke peke yangu alafu yeye anadunda tu
Mganga mpe laana kila ataempata awe mpenzi wa mtu
Akamatwe achapwe
Kwa alonifanyiaga nae yamkute nae yamkute

Bora angechezea wote sio mimi
Ila hapa kakutana na namba chafu
Bora angechezea wote sio mimi
Ila hapa kakutana na namba chafu

Alafu mganga hebu fanya kitu
Ikiwa baby wangu anani cheat mkomeshe
Danga lake lipige pasi kifuani flat namaanisha mkondeshe
Nishachoka drama sitaki stress ndogo ndogo
Nataka mtoto wa mtu nimuweke kwapani
Akinipenda awe ananipenda asiponipenda awe ananipenda tu

Ila mganga tafadhali naomb ex wangu asicheke tena
Siwezi kukubali niteseke peke yangu alafu yeye anadunda tu
Mganga mpe laana kila ataempata awe mpenzi wa mtu
Akamatwe achapwe
Kwa alonifanyiaga nae yamkute
Nae yamkute

Bora angechezea wote sio Mimi
Ila hapa kakutana na namba chafu
Bora angechezea wote sio Mimi
Ila hapa kakutana na namba chafu


#xouh #Mganga

show more

Share/Embed