PENZI LA DADA Episode 1 .. HD 1080 | Director
RAQIM ORIGINAL FILM RAQIM ORIGINAL FILM
1.18K subscribers
4,067 views
52

 Published On Dec 28, 2023

Katika pitapita na harakati za Maisha, Jamaa anatokea kumpenda msichana mmoja aliyekutana nae njiani,
Kisanga kinaanza jamaa anatupia nyavu na Msichana anajaa jamaa anakamua bonge la Show, kufumba na kufumbua anakuja kugundua kua yule aliyeruka nae ni mdogo wake tena wakuzaliwa tumbo moja.
Daaah sa ilikuaje, icheki naamini kunachakujifunza.... DIRECTOR CODE BRAND

show more

Share/Embed