JEALOUS -- WIVU -- SONGOMBINGO PENZINI | EPISODE 1
RAQIM ORIGINAL FILM RAQIM ORIGINAL FILM
1.18K subscribers
400 views
35

 Published On May 2, 2024

JEALOUS -- WIVU -- Ni Series yenye kuelezea Songombingo zilizotokea katika Familia ya Wapendanao, Wivu juu ya Kupenda unapelekea Familia kuingia katika Songombingo na kutishia hadi kuvunja undugu, huku mwenye kuhukumiwa akiwa hana hatia....

Linapokuja swala la Mapenzi hakuna mstari mwema ujao kama ikitokea viashiria vya Kusalitiwa...

Fuatilia Series hii ya JEALOUS ambayo itakua ikiruka hapa hapa RAQIM ORIGINAL FILM

Story : Herry Mzava || Script - Code Brand || Boom Swinger - Miriam27 || Location - Sadick Barbershop || Camera - Code Brand || Continuity - Modo || Editor - Code Brand || Director - Code Brand || Producer - Raqim Original Film || Executive Producer - Code Brand Pictures ....

#azamtv #clamvevo #netflix #lovestory #sadmovies #sonia #sauti #action #Tanzania #Kenya #Zanzibar #Rwanda #Burundi #Congo

show more

Share/Embed