TBS yawafunda watengenezaji wa matofali kuhusu viwango vya ubora
Azam TV Azam TV
2.77M subscribers
249 views
2

 Published On Apr 21, 2022

Shirika la viwango nchini (TBS) limeandaa semina kwa watengenezaji na wauzaji wa matofali nchini ili kuweza kuwapa elimu ya namna ya kuandaa na kuzingatia vipimo vya ubora wa matofali hayo.

show more

Share/Embed