MWANAMKE BOMBA | Lydia Wathobio, anatengeza matofali
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
5.22M subscribers
12,570 views
106

 Published On Mar 12, 2019

Amejikita kwenye sekta ya ujenzi na sio ujenzi wa kawaida tu bali amezamia teknolijia inayolenga kurahisisha na kupunguza gharama za ujenzi. Bidii yake ya kutaka kuimarisha kipato chake katika biashara ilimlekeza mitandaoni alikovumbua biashara ambayo mbali na kumuinua, imenua maisha ya vijana wengine aliowajiri. si mwengine bali ni lydia wathobio anayefanyakai ya kutengeza matofali ya mawe katika eneo la Ruiru. Na ndiye mwanmke bomba wiki hii #MwanamkeBomba #MwanahamisiHamadi #CitizenNipashe






Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:
http://citizentv.co.ke
  / citizentvkenya  
  / citizentvkenya  
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
  / citizentvkenya  

show more

Share/Embed