Rais Samia | Pale ofisini alipokuwa anakaa mwenzio sitaki ukakae
UTV Tanzania UTV Tanzania
78.3K subscribers
471 views
0

 Published On Jul 5, 2024

“Kwa kazi ninayotaka kukupa…kwa mtoto wa kike siyo rahisi…hiyo kazi ninataka uifanye wewe…” - Rais Samia amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kwenda kuifanya Kariakoo kuwa soko la kimataifa litakalofanya biashara kwa saa 24 na sehemu salama kwa wafanyabiashara.

#AzamTVUpdates
Mhariri |Onike Masayanyika, John Mbalamwezi

show more

Share/Embed