Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati akipokea Taarifa ya Haki Jinai Ikulu Chamwilno Mkoani Dodoma leo tarehre 15/06/2024.