Hatma ya Clatous Chama ndani ya Simba, Ahmed Ally atoa maelezo
Azam TV Azam TV
2.65M subscribers
67,772 views
0

 Published On Jun 30, 2024

“Unaweza kumuacha Chama halafu baadaye ukaanza kujuta” – Ahmed Ally kuhusu ishu ya kiungo wao Clatous Chama akifafanua sababu za kuchelewa kufanya maamuzi, asema hatma yake wanayo viongozi wa juu…. asisitiza “yule siyo mtu mchezaji wa kawaida”

show more

Share/Embed