AHMEDY ALLY: CHAMA AKITAMBULISHWA YANGA JUA SIMBA HAIMUHITAJI!/HAKUNA TIMU ITAWEZA KUMCHUKUA
Capital Digital Capital Digital
37.4K subscribers
197,209 views
684

 Published On Jun 25, 2024

Meneja habari na mawasiliano katika timu ya #simbasc amefunguka hatima ya mchezaji wao nyota Clatous Chota Chama ambaye anahusishwa kujiunga na timu ya #yangasc #yanga

Meneja wa idara ya habari na mawasiliano Simba @ahmedally amebanwa mbavu na Ripota wetu @hosemchopa kuhusu taarifa za Simba kushindwa kumbakiza Clatous Chama na kukaribia kutangazwa na wapinzani wao klabu ya Yanga.

Hoja nzito Simba wameshindwana na Clatous Chama mezani au Simba haikimuhitaji kabisa Chama na hakukuwa na mazungumzo yoyote?

show more

Share/Embed