Alichokisema Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mjini Moshi, Kilimanjaro
The Chanzo The Chanzo
80.4K subscribers
19,532 views
134

 Published On Apr 30, 2024

Mbowe amezungumza haya katika mkutano wa hadhara mjini Moshi mkoani Kilimanjaro katika muendelezo wa maandamano ambayo CHADEMA wamesema haya ukomo mpaka pale ambapo Serikali itasikiliza kero ambazo wananchi wanazilalamikia ikiwemo ya Katiba Mpya na upandaji wa gharama za maisha.

show more

Share/Embed