YAJUE HAYA KUTOKA KWA ALICIOS WA POSA YA BOLINGO, MKONGO ANAYETAMBA KWA KUIMBA KISWAHILI
Millard Ayo Millard Ayo
5.11M subscribers
10,879 views
0

 Published On Premiered Mar 4, 2021

Ni mwimbaji Alicios raia wa Congo anayeishi Kenya, amekuwa maarufu kutokana na nyimbo zake alizoimba kiswahili kupata umaarufu kama Posa ya Bolingo, Ya Nini, Mpita Njia na nyingine nyingi. Hapa amefunguka mengi kumuhusu yeye baada ya kuja Bongo.. ni yapi hayo Bonyeza PLAY hapa kumtazama.

show more

Share/Embed