POVUU!! MZIMU WA HARMONIZE UNAWASUMBUA MAJAJI WA BSS
YaPO TV YaPO TV
2.79K subscribers
145,547 views
0

 Published On Sep 11, 2018

Msanii Harmonize alisukumwa na kutolewa Bongo Star search pale alipojitokeza kutokea Mtwara kwamba hana kipaji lakini kwa baadaye alijiunga WCB akawa star wa level za juu sana. Majaji paka sasa wanajilaumu kwa kitendo kile kwa kila interview wanakua wanajibu kwa kujuta na kujilaumu kutokana kumpiga chini na wale waliochaguliwa awakufanya vizur sana. BSS itaanza mwaka huu tarehe 22 September wakianzia Mwanza.
#yapotv

show more

Share/Embed