EPUKA KUFANYA MAKOSA HAYA YA KIFEDHA
Success Path Network Success Path Network
323K subscribers
23,940 views
429

 Published On Mar 28, 2020

Pesa au fedha ni kituambacho kwa bahati mbaya sana hakifundishwi katika mfumo wetu wa elimu kitu kinachopelekea wengi sana kutumbukia katika makosa makubwa ya kifedha pindi wanapozikamata na matokeo kuwa mabaya hata kupoteza fedha zote walizonazo.

Makosa ya kifedha yanaweza kufanywa na yoyote kati yetu ikiwa hata kuwa makini na mambo kadhaa au kama hakupata nafasi ya kujielimisha kifedha basi inaweza kuwa tatizo. Sasa leo hii katika falsafa ya biashara ndugu Nurdin Mohammed, mtaalau wetu wa masuala ya biashara na mauzo anatuletea somo zuri lenye kuchambua baadhi ya makosa makubwa ya kifedha yanayofanywa na wengi huenda bila kujua.

Usiache kutuachia maoni kuwa ni mambo mangapi kati ya haya ulikuwa ukiyafahamu na yapi unakwenda kuyatilia mkazo ili kuboresha maisha na hali yako ya kifedha.
.
TUFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM:   / success_daily_quotes  
.
For Business please send us an email
[email protected]
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076


#MakosaYaKifedha #FalsafaYaBiashara #NurdinMohammed

show more

Share/Embed