Epuka Makosa 6 Kama unataka kufanikiwa katika maisha/biashara haraka
G Online G Online
27.7K subscribers
138,839 views
1.5K

 Published On Premiered Sep 9, 2019

Epuka makosa 6 kama unataka kufanikiwa katika maisha/biashara haraka, inawekezana haujui kuwa unafanya makosa ambayo yanakusababisha haupati mafanikio unayotaka.Haijalishi unaujuzi gani, kipaji gani au elimu gani ila kama ukiendelea kufanya makosa mafanikio kwako utayasikia tu.Muda mwingine mafanikio si kuhusu unachokijua tu, ila pia ni kujua usioyajua.Kama Benjamin
Franklin alivyosema "Kuwa makini na gharama ndogo,kuingia kwa maji kidogo kunaweza kuzamisha meli kubwa".Mfano unataka kuwa na mwili wenye afya bora,unakula sana mboga za majani na kufanya mazoezi lakini kama hautoacha tabia za kunywa vinywaji sio sahihi hautoweza kufanikiwa kupata afya bora na mwili
lakini kama hautoacha tabia za kunywa vinywaji sio sahihi hautoweza kufanikiwa kupata afya bora na mwili bora kama ulivyotegemea.Hivyo hivyo kwenye mafanikio usipoweza epuka makosa kadhaa kama haya ninayoshare na wewe then mafanikio kwako itakuwa ni ngumu kupata.Jaribu kuepuka makosa 6 haya kama unataka kufanikiwa katika maisha/biashara.Karibu

🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇
https://www.youtube.com/channel/UCk-G

🔴Follow me on Instagram -   / zahir11gome.  .

🔴Twitter -   / zahir11gomelo  

⚡Jinsi ya kupanga Bajeti-50/30/20
   • Jinsi ya Kupanga Bajeti - 50/30/20  

⚡Je unapitia maisha magumu/wakati mgumu katika maisha? Usikate tamaa. Angalia Hii-
   • Je unapitia maisha magumu/wakati mgum...  

⚡Angalia Hii : Kabla ujakata tamaa katika maisha
   • ANGALIA HII : Kabla ujakata Tamaa Kat...  

⚡Jinsi ya kutengeneza na kuwa na pesa nyingi/Acha mambo haya matano (5)
   • JINSI YA KUTENGENEZA NA KUWA NA PESA ...  

⚡JILIPE MWENYEWE KWANZA

   • Jilipe wewe mwenyewe kwanza.Angalia hii  

⚡FIKRA/MAWAZO YA WATU WALIOFANIKIWA -    • FIKRA/MAWAZO YA WATU WALIOFANIKIWA  

⚡ KWANINI UNAFELI KATIKA MAISHA NA UNASHINDWA KUFIKIA MAFANIKIO KATIKA MALENGO NA NDOTO ZAKO -    • KWANINI  UNAFELI KATIKA MAISHA NA UNA...  

⚡Siri 3 Jinsi ya kuweka malengo -   • SIRI TATU ZA JINSI YA KUWEKA MALENGO ...  
.............................................................................

🔴Music from Youtube audio library -Steps

#epukamakosa #mafanikio #gonline

show more

Share/Embed