KARIAKOO KIMENUKA TENA/KUTANA NA MFANYABIASHARA KICHWA NGUMU/AMSHANGAZA CHALAMILA
Kalunduka Online Kalunduka Online
9.58K subscribers
39,977 views
214

 Published On Jun 25, 2024

Ikiwa ni siku ya pili leo wafanyabiashara wa Kariakoo wakiendelea na Mgomo wa kutofumgua maduka yao ili kuendelea na Biashara zao moja ya mfanyabiashara ameonesha jeuri ya kubishana na mkuu wa mkoa.

show more

Share/Embed