Warioba Afunguka Siri za Ndani Wakati wa Nyerere, Namna Walivyobishana na Sokoine Akataka Kujiuzulu
The Chanzo The Chanzo
84.7K subscribers
4,261 views
52

 Published On Sep 30, 2024

Warioba akumbushia namna alivyoamua kujiuzulu kutokana na sheria ya uhujumu uchumi.

Katika mjadala wa uzinduzi wa Kitabu cha Hayati Moringe Sokoine, Leo Septemba 30,2024, Mzee Joseph Warioba amekumbushia namna alivyobishana na Sokoine kuhusu sheria ya uhujumu uchumi mpaka yeye kufikia kuamua kujiuzulu.

Warioba wakati huo alikua Mwanasheria Mkuu wa serikali anaeleza kuwa aliona sheria hiyo inaenda kuwa na changamoto kubwa a utekelezaji hasa juu ya haki za watu.


Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

show more

Share/Embed