Ndoa ni Takatifu ,na ni zawadi kubwa tuliyopewa na Mungu.Ndoa inapaswa kutunzwa kwa kumuweka Mungu mbele kama mhimili mkuu wa Ndoa. Ihurumie Ndoa Yako ni wimbo utakao kubariki.Barikiwa