MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO
RAJO PRODUCTIONS RAJO PRODUCTIONS
458K subscribers
27,876,388 views
59K

 Published On Jul 18, 2016

Mimina Neema. Ni Toleo la 11 la Kwaya ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya mwenye heri Anuarite - Makuburi, Dar es salaam. Huu ni wimbo mmoja miongoni mwa nyimbo 12 zinazofanya Album hii. Jipatie nakala yako ya DVD sasa. Piga simu namba +255 715 160 055 au +255 743 731 937

Miongoni mwa nyimbo bora za Kwaya Katoliki, tusikilize na Kutazama kwa afya ya Roho zetu.
Tusikilize sauti tamu na Maneno Matamu kutoka kwa wanakwaya hawa.

Mungu atubariki sote.

Tunapoendelea kuomba Mungu amimine neema kwetu, tuendelee pia kuzitafuta habari zake, habari za mwana wake Yesu Kristo, Habari za Yesu.

#kwayakatoliki

show more

Share/Embed