JINSI YA KUPIKA BIRIANI RAHISI YA KI HYDRABADI
Aroma Of Zanzibar & Beyond Aroma Of Zanzibar & Beyond
245K subscribers
25,554 views
551

 Published On Apr 9, 2021

Mahitaji : chakula kwa watu 6-8

Kuku alokatwa kiasi pound 4.25 ( kilo 2)
Kjk 1 ½ cha masala ya biriani ( aroma of Zanzibar) au utakayo penda
Kikombe 1 ½ mtindi mzito usokuwa na ladha
Chumvi kiasi
Maji ya limao au ndimu kiasi vjk 1-2 cha kulia
Mafuta ya kupikia ¼ kikombe
Mchanganyiko wa kitunguu thom na tangawizi mbici kiasi vjk 2-3 vya kulia
½ kikombe majani ya kotmiri/dhania yalokatwa vipande vidogo
¼ kikombe cha majani ya nanaa yalokwatwa vipande vidogo
Vikombe 2 vya vitunguu maji vilokaangwa ( 700gms)
Mbatata za kukaanga kama utapenda
Pilipi za kijani 2-3 kama utapenda

Vikombe 6 vya mchele ( kosha roweka kiasi dakika 30)
Bizari zilokuwa nzima kama pilipili manga, bay leaf, hiliki, mdalasini

Nyuzi 6 za zafarani roweka kwenye maziwa au maji ya wardi kiasi vjk 4 vya kulia
Vitunguu vya kukaanga na majani ya dhania kwa kuwagia juu
Samli imoto Vijiko 3 vya kulia kwa kuwagia juu


THIS RECIPE IN ENGLISH    • QUICK AND SIMPLE DELICIOUS HYDRABADI ...  
Bizari za biriani    • Bizari za biriani - kiswahili  


Aroma of Zanzibar social media
  / fathiya.ismail  
  / aromaofzanzibar  

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...


Music courtesy   / contemplative-middle-east-oud-improvisation  

This is an English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

show more

Share/Embed