KIPYENGA CHA MWISHO: Osman Kazi asawazisha utata mechi ya Azam FC Vs Yanga SC, Azam TV kununua VAR
Azam TV Azam TV
2.77M subscribers
96,170 views
567

 Published On Mar 21, 2024

Huyu hapa Mwamuzi Mstaafu wa Kandanda Nchini, Osman Kazi akisawazisha utata wa maamuzi katika mchezo wa NBC Premier League, Azam vs Yanga SC, Simba Vs Mashujaa FC.

show more

Share/Embed