OOOH! CHIDY | NISIULIZWE | LOVE STORY
LUCAS LUMBASI SIMULIZI LUCAS LUMBASI SIMULIZI
25.9K subscribers
10,549 views
362

 Published On Sep 5, 2024

Mwaka 2020 nilihamia maeneo ya Mbagala, kulee wanapo paita Mbagala rangi tatu. Nilipanga ka chumba na kukaa mwenyewe kwa miezi mitatu tu kisha nikatafuta mtu wa kushea nae chumba, hapo ndipo nilipokutana na tukio lililonifanya leo hii nikusimulie kisa hiki cha kweli

show more

Share/Embed