MALAIKA MWEUSI - PART 1
Ankojay Simulizi Ankojay Simulizi
86K subscribers
31,401 views
1K

 Published On Sep 1, 2024

Mlio wa simu ulimshtua Mr Anderson aliyekuwa katikati ya usingizi mzito. Aliyatupia macho yake kwenye saa ndogo iliyokuwa juu ya droo ya kitanda, ilimuonesha kuwa ni saa 10:15 za usiku.

show more

Share/Embed