Watoto Jela
KTN News Kenya KTN News Kenya
2.84M subscribers
188,473 views
0

 Published On Jan 26, 2013

Katika makala maalum tunaingia katika gereza la wanawake la Langata ambapo tunadhihirisha maisha ya watoto waliozaliwa baada ya mama zao kupewa vifungo vya zaidi ya miaka kumi, je maisha kwa watoto hawa huwa vipi ikizingatiwa kuwa wao hujipata katika mazingira hayo pasipokupenda
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv

show more

Share/Embed