Wafungwa wakongwe waomba serikali waachisha huru
KTN News Kenya KTN News Kenya
2.91M subscribers
83,543 views
204

 Published On Jun 5, 2014

Je, iwapo mfungwa atazeeka ama augue kiasi cha kufariki gerezani kwa msimamo wa kumrekebisha tabia ni kitu gani kinachopaswa kufanywa ili kuokoa hali kama hii. mwanahabari wetu lofty matambo alipata fursa ya kuzuru gereza la kamiti hapa jijini nairobi na kutuandalia taarifa kuhusu masaibu ya wafungwa wakongwe na wagonjwa gerezani huku kamati inayofaa kuwa chunguza na kubaini wanaofaa kupewa msamaha ikishindwa kutekeleza majumu yake.

Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on   / ktnkenya  
Like us on   / ktnkenya  

show more

Share/Embed