GOMA LA VUGO
Imarika Media Imarika Media
506 subscribers
9,529 views
0

 Published On Sep 15, 2021

Vugo ni mojawapo ya ngoma za jadi za waswahili iliyo maarufu sana kwa jamii ya wabajuni kutoka visiwani Lamu na Mombasa, pwani ya Kenya. Ni ngoma ya kitamaduni ambayo hivi sasa huchezwa zaidi katika sherehe mbali mbali za Kiswahili za kibajuni kama vile harusi, siku za kuzaliwa au hafla za kitamaduni.

show more

Share/Embed