Mtoto wa Manji asimulia namna baba yake alivyoipenda Yanga
Azam TV Azam TV
2.77M subscribers
24,337 views
208

 Published On Jul 7, 2024

“Moyoni mwake ukimkata utaona damu ya Yanga” maneno ya Mehbub Manji akisimulia namna baba yake alikuwa akiipenda Yanga.

Mehbub amesema kuna nyakati walikuwa wanweza kujua matokeo ya mechi za Yanga kwa kumtazama baba yao tu, wakimuona amekasirika wanajua Yanga imefungwa.

Imefanyika dua kwa ajili ya Yusuf Manji aliyefariki dunia Juni 30 ,2024 katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.


#Dua #MaishaYaManji #YusufManji

show more

Share/Embed