MBUNGE ESTER BULAYA ACHACHAA KUHUSU KIKOKOTOO BUNGENI
Daily News Digital Daily News Digital
218K subscribers
200 views
0

 Published On Premiered Jun 20, 2024

DODOMA: Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya amesema sababu ya Serikali kushusha kiwango cha malipo ya mkupuo kwa wastaafu ni kutumia fedha toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kuwekeza katika miradi ambayo hairejeshi fedha hizo.

Bulaya amesema hayo wakati akichangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2024/25 pamoja na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/25, bungeni jijini Dodoma.

Amehoji kama Serikali inaamini kuwa mifuko ya hifadhi ya jamii iko vizuri, kwanini inashindwa kuwapa wafanyakazi uhuru wa kuchagua kiwango cha malipo ya mkupuo ambacho wanataka kulipwa?

Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo:   / spotileo-176.  .
HabariLeo:   / habarileo  
DailyNews:   / dailynewstz  

INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...

TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

show more

Share/Embed