Halima Mdee amuwashia moto Bashe; ashusha kiingereza Bungeni "Hii ni akili gani jamani?"
Mwananchi Digital Mwananchi Digital
980K subscribers
101,777 views
0

 Published On Premiered May 9, 2023

Mbunge wa viti maalum (Chadema) Halima Mdee akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/24 Bungeni jijini Dodoma leo.

show more

Share/Embed