Khaligraph Jones, Rosa Ree, Stevo Simple Boy Ana Kwa Ana Kisa Ubabe Wa Kurap
Ronald Terer Ronald Terer
1.17K subscribers
114 views
4

 Published On Aug 29, 2023

Siku za hivi Karibuni muimbaji wa nyimbo za kufokafoka yani Rap kutoka Kenya, Khaligraph Jones aka OG alikiwasha tasnia ya mzuki wa Hip Hop baina ya Kenya na Tanzania kwamba hawamfikii kwa kurap na hata kuwapa makataa ya masaa 24 kuchallange kauli yake na kilichofuatia ni watu mbalimbali wakiwemo wasanii kutoa kauli tofauti tofauti, wengi wakichukulia tu poa kwamba Khaligraph ameianzisha challenge ambayo itafanya wasanii kupimana nguvu na mwishowe kuifanya game itambe hata zaidi huku wengine wakitoa kauli kinzani na tumeona wasanii mbalimbali wakireact akiwemo Rosa Ree wa Tanzania kutoa Dis Track MAMA OMOLLO kujibu vijembe vya Khaligraph.
Sasa Stevo Simple Boy wa Kenya ambaye anafanya nyimbo za kurap amejitosa kwenye challenge nae akielekeza vijembe kwa Wabongo. Na hii hapa ni Dis Track ya Stivo Simple Boy kwa Wasanii wa rap wa Tanzania.
#khaligraphjones #stevosimpleboy #stivosimpleboy #mwijaku #rosaree #mamaomollo #kenyavstanzaniarapbattle

show more

Share/Embed