Njenga Karume "son" wants burial stopped
KTN News Kenya KTN News Kenya
2.93M subscribers
16,454 views
26

 Published On Feb 27, 2012

Edwin Thuo, mwanamume aliyejitokeza na kudai kuwa mwanawe James Njenga karume hii leo amefungua kesi ili kuyazuia mazishi ya marehemu Njenga Karume yaliyopangwa kufanyika siku ya jumamosi wiki hii. Thuo anaitaka mahakama izuie kuzikwa kwa Jenga Karume hadi pale uchunguzi wa chembechembe za damu au dna utakapofanywa ili kubaini iwapo yeye ni mwanawe mwendazake Njenga Karume au la?.

show more

Share/Embed