Mazishi ya Karume
KTN News Kenya KTN News Kenya
2.93M subscribers
14,924 views
8

 Published On Mar 3, 2012

Mamia ya wakenya wakiwemo rais Mwai Kibaki, Waziri Mkuu Raila Odinga , Rais mstaafu Daniel Moi miongoni mwa viongozi wengine mashuhuri hii leo walihudhuria mazishi ya aliyekuwa waziri wa ulinzi mwendazake Njenga Karume. Mazishi hayo yalifanyika nyumbani kwake huko Kiambu leo mchana. Karume aliaaga dunia akiwa na miaka 82 baada ya kukugua saratani kwa muda atakumbukwa kwa ufanisi wake haswa katika maisha yake ambapo mbali na kuwa mwana siasa maarufu alijikakamua na kuimarika kutoka kuwa muuzaji makaa hadi kuwa bwenyenye wa mabilioni ya fedha. Karume amemaucha mjane, watoto, wajukuu na vitukuu.

show more

Share/Embed