Published On Premiered Oct 5, 2020
Mtazamo au mawazo chanya vinaweza kukuongoza katika mambo mengi sana ya maendeleo katika maisha yako.
.
Lakini maisha yana juu na chini kuna hali yaweza kutokea ukashindwa kuwa mtazamo sahihi au mawazo chanya.
.
Kwahiyo ni lazima kuwa mlinzi wa mawazo na mtazamo wako wakati wote kwani gharama ya kukutana na athari ya mawazo hasi (negative thinking) ni kubwa sana.
.
Kuna mambo 10 hapa unaweza fanya kuhakikisha unakuwa na mawazo chanya siku zote:
.
1- Kuwa na watu sahihi wanaokuzunguka
2- Kubali kosa ukifanya na badilika
3- wapongeze wengine wakifanya vizuri.
4- Jijali/ Jipende.
5- Shukuru kwa yale uliyonayo
6- Jione wewe ni mshindi kila siku
7- Kila siku fanya kitu kuhusu malengo au ndoto yako
8- Soma vitabu au makala zenye kukupa nguvu na shauku ya kuwa bora zaidi
9- Saidia wengine au shiriki shughuli za kijamii
10- Usiache ibada kila siku
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
TUFUATE INSTAGRAM:
SPN CHANNEL: / successpath_network
EZDEN JUMANNE: / ezdenjumanne
DR. ISRAEL: / drisraelofficial
.
BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP : (+255)759191076
.
#Positive #Thinking #SPN