Rais Mstaafu TLS Afunguka Tume ya Kijaji 'Hii ni TAHARUKI' | Mwabukusi Aguswa
WAKILI TV WAKILI TV
26.4K subscribers
11,648 views
67

 Published On Sep 14, 2024

#ijuesheria #tls #mwabukusi #section4wakilitv

Rais mstaafu wa TLS Mhe. Bahame Tom Nyanduga ameelezea Tume ya Kijaji na muundo wake wa utendaji kazi wakati akifanya mahojiano maalum na Wakili TV kuhusu tume hiyo inayopendekezwa na wadau kwenye kufanya uchunguzi wa matukio ya utekaji na upoteaji watu yanayoendelea nchini.

show more

Share/Embed