PART ONE: LEMA ATUMA UJUMBE MZITO KWA RAIS SAMIA/"TUSIRUDISHE NCHI ILIPOTOKA"
MwanaHALISI TV MwanaHALISI TV
317K subscribers
5,360 views
27

 Published On Sep 20, 2024

Mwenyekiti wa Chadama Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa zamani wa Arusha Godbless Lema akizungumza kwa lengo la kutuma ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu, kufuatia Hotuba aliyoitoa Septema 17 wakati akifunga mkutano wa Maafisa wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro.
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: [email protected]
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

show more

Share/Embed