DW Kiswahili | Matumizi yaliokithiri ya muguka na madhara yake kiafya | Kurunzi
DW Kiswahili DW Kiswahili
184K subscribers
291 views
2

 Published On Jun 3, 2024

Matumizi mabaya ya muguka na dawa zingine za kulevya yamesababisha ongezeko kubwa la waraibu katika vituo vya kurekebishia tabia. Hata hivyo viongozi wa Mombasa kupiga marufuku usafirishwaji na uuzwaji wa aina hiyo ya bidhaa. Tazama video kuona madhara yake kiafya. #DWKiswahili #Kurunzi #afya

show more

Share/Embed