AfyaKona: Mwarobaini wa magonjwa yasiyoambukiza || Epuka kufanya haya
Mwananchi Digital Mwananchi Digital
1.01M subscribers
42,576 views
242

 Published On Premiered Sep 11, 2022

Unazijua hatua za kufuata ili kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza? Kitaalamu mtu mzima anatakiwa kutembea hatua 10,000 kwa siku ambayo ni sawa na kilomita 6 hadi 7 kulingana na hatua zake.
Ili kufahamu hayo na mengine mengi, usikose kuangalia #AfyaKona kesho Septemba 12, 2022 kupitia #MwananchiDigital ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Profesa Mohamed Janabi ataeleza kwa kina akitoa angalizo kwa umma namna ya kujikinga.
Usikose kusoma nakala ya Gazeti la Mwananchi na mitandao yake ya kijamii

show more

Share/Embed