PROF. KABUDI AELEZA SIRI KIFO CHA SOKOINE/WALIVYOMUHUSISHA NYERERE/ATOA MAJIBU MZITO
MwanaHALISI TV MwanaHALISI TV
320K subscribers
2,673 views
13

 Published On Sep 30, 2024

Kwa mujibu wa waandishi wa kitabu hiko wameeleza kuwa kuna baadhi ya mwandishi wa kigeni kwa wakati huo, aliwahi kuandika Makala kuwa, kifo cha sokoine mwalimu Nyerere alihusika au alifaidika.

Kutokana na Makala hiyo Mwalimu Nyerere alionekana kusikitika na kuhuzunika na kujibu kuwa “Ajali hiyo haikupangwa na mimi isipokuwa kumuomba Mungu amsamehe mwandishi wa Makala hayo, nashindwa kuelewa mkengemko unaoweza kumsukuma mtu katika Mawazo ya hovyo”

Mengi na mengineyo yameandikwa kwenye kitabu hicho, ambacho kimezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) elo tarehe 30 Septemba 2024.
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: [email protected]
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

show more

Share/Embed