Makonda amlalamikia mkurugenzi wa jiji, Magufuli amsimamisha kazi
JamiiForums JamiiForums
130K subscribers
490,149 views
1.1K

 Published On Apr 19, 2016

Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe katika uzinduzi wa daraja la Kigamboni. Amemsimamisha baada ya Paul Makonda kumlaumu kwa mambo kadhaa ya kiutendaji.

show more

Share/Embed