MAGUFULI AANIKA MADUDU KUHUSU CORONA - "FENESI, MBUZI NAO WANA CORONA"
Global TV  Online Global TV Online
5.02M subscribers
1,039,024 views
4.8K

 Published On Streamed live on May 3, 2020

MAGUFULI AANIKA MADUDU KUHUSU CORONA - "FENESI, MBUZI NAO WANA CORONA"

RAIS Dkt John Magufuli, leo Mei 03, amemuapisha Mbunge wa Iramba, Mwigulu Nchemba, kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, baada ya aliyekuwa waziri wa wizara hiyo, Balozi Agustine Mahiga, kufariki dunia na kisha kumpa majukumu mazito waziri wa sheria kuchunguza Maabara ya Taifa madai kuwa vipimo vilionesha Papai, Mbuzi, Fenesi navyo vina CORONA!

Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
iOS:https://apple.co/38HjiCx

VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...

JE, NA WEWE UNA HABARI?
WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
Email: [email protected] OR [email protected]
OUR PLAYLIST:
HABARI MPYA DAILY: http:shorturl.at/lNOZ2
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

show more

Share/Embed