NJE YA ULINGO | Mwakinyo afunguka mikasa ya safari yake ya ngumi na alichoteta na Terrence Crawford
Azam TV Azam TV
2.75M subscribers
19,988 views
244

 Published On May 16, 2024

Bondia Hassan Mwakinyo amezungumzia safari yake ya ngumi huku akitaja mikasa aliyowahi kukutana nayo kwenye safari yake ya ngumi ikiwemo kuwahi kupimwa haja ndogo akihisiwa kutumia dawa za kusisimua misuli.

Mwakinyo pia amefunguka kila kitu jinsi alivyokutana na Bondia wa Marekani, Terrence Crawford na kila kitu walichozungumza na kukubaliana.

Ni kupitia kipindi cha Nje ya Ulingo akiwa na Aidan Mlimila.

show more

Share/Embed