SSH TUTAJENGA RELI KATI YA MTWARA NA RUVUMA
Mtanzania Digital Mtanzania Digital
590K subscribers
45 views
0

 Published On Sep 29, 2024

"Matazamia ya serikali katika miaka ya mbele ni kujenga reli kati ya Mtwara na Ruvuma. Reli hiyo inatarajiwa kupita katika machimbo ya Liganga na Mchuchuma na ifike mpaka Mbambabay. Hii ni kutekeleza dhamira ya muda mrefu ya serikali ya kuendeleza ushoroba wa Mtwara yaani Mtwara Corridor,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan.

show more

Share/Embed