Keir Starmer awa Waziri Mkuu wa 58 wa Uingereza
UTV Tanzania UTV Tanzania
78.3K subscribers
98 views
0

 Published On Jul 5, 2024

Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Keir Starmer ameahidi kuijenga upya nchi hiyo baada ya chama chake cha Labour kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliomaliza miaka 14 ya utawala wa chama cha Conservative.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

show more

Share/Embed