Published On Premiered Jan 17, 2024
Mwenyekiti wa ccm taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dkt Samia Suluhu Hassan, amezindua Chuo cha wajasiriamali Wanawake Mkoa wa Kaskazini Unguja Cha Jumuiya ya Wanawake UWT ambacho ujenzi wake umegharimu Shilingi Milioni 72 na kitatoa mafunzo kwa Wanawake jambo litakalosaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana.
..................................................................................
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 717 619 834
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ZANZIBAR HAITOS...
• NI KWELI ALI KIBA AMNUNULIA NYUMBA OM...