Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harminize tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam