Dr. Chris Mauki: Mambo 6 ya kuongeza ujanja wako kwenye mahusiano
Chris Mauki Chris Mauki
307K subscribers
95,830 views
1.6K

 Published On Jul 5, 2021

Je unajua mapenzi au mahusiano yanaweza kufanikiwa zaidi kama wewe unaweza kujifunza mambo na kuwa mjanja zaidi? Jinsi unavyojua kidogo ndivyo unavyoinjoy kidogo. Haya hapa mambo 6 ya kukusaidia kuwa mjanja zaidi kwenye mahusiano na ndoa yako.
#DrChrisMauki#Ujanja#Mahusiano

show more

Share/Embed