Rais Samia aanika sababu za kumuondoa Kidata TRA
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
101 views
0

 Published On Jul 5, 2024

“Kidata mimemuondoa…niliona mwisho atadata kwa namna alivyokuwa anaandamwa…” – Rais Samia Suluhu Hassan akielezea sababu zilizomfanya amuondoe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na kumteua kuwa Mshauri wa Rais, Ofisi ya Rais, Ikulu.

#AzamTVUpdates
Mhariri |Onike Masayanyika, John Mbalamwezi

show more

Share/Embed