Taratibu Rahisi Za Kuja Ulaya
Maisha Ya Ulaya Maisha Ya Ulaya
2.56K subscribers
3,532 views
149

 Published On May 19, 2024

Hi guys, Nimeaanza kupost video ambazo zinaeleza njia tofauti ambazo wewe na familia yako mnaweza kutumia kuja Ulaya. Kama una ndoto ya kuja ulaya usikose videos ambazo nitaposti kwa details njia tofauti za kuja ulaya. Kama we ni mwanafunzi au unatakuja kama mkimbizi make sure unasubscribe ili usikose. Mimi sio immigration officer, maoni nayotoa ni kupitia kazi niliyoifanya ya kuwaandikisha wakimbizi na pia kupitia information nazopata kwenye internet. #tanzania #ulaya #diamondplatnumz #kenya #diamondplatnumz #eastafrica #mkimbizi #uganda #burundi #rwandatoday

show more

Share/Embed